Assomption

Sisi ni nani?

Waassumpionisti ni watawa wanaoishi katika jumuiya ya kitume.

Maisha ya kijumuiya na kitume

Tukiwa waaminifu kwa roho ya P. Emmanuel d’Alzon na Kanuni ya Mtakatifu Augustino, tunatumikia Mungu na watu kwa sala, undugu na utume.